Croatia washarudisha
Kwema kabisa dada, shemeji kiukweli tulikukosa sana kwa muda mrefu karibu tena.
Kwema mpwa za siku. Leo hata sijui niwe wapi maana timu zangu zote out. Argentina na SpainHabari gani mpwa?
Ziongezwe tu ili na Tanzania tupate nafasiHivi kuna haja ya kuongeza timu za afrika kombe la dunia maana inasemekana 2026 zitaongezwa 4 ziwe jumla tisa ktk timu 48.
Kwema mpwa za siku. Leo hata sijui niwe wapi maana timu zangu zote out. Argentina na Spain
Ktk kombe la dunia kwa jumla Chukua ufaransa ina watu wenye asili ya afrika wengi karibu saba ktk first eleven.Kwema mpwa za siku. Leo hata sijui niwe wapi maana timu zangu zote out. Argentina na Spain
Nzuri mpwa
Mimi baada ya Germany na Portugal kutolewa nimehamia kwa France na Croatia.
Pole sana
Tanzania tutakuwa wabovu sana aisee. Ebu piga picha waliotuwakilisha afrika kombe la dunia ndio wababe wetu huku kwetu sasa tuliobaki sijui tuko levo gani.Ziongezwe tu ili na Tanzania tupate nafasi
Linaweza kutokea lolote keshoItapendeza brazil nao watoke pia wapiga kelele england watoke kisha tuonjoi mpira wa underdogs.
Umebakia wapi sasa najua jicho kuna sehemu limeamiaMimi baada ya Italy [emoji634] kutofuzu niko Germany [emoji629] Sema Argentina [emoji1033] nitakuwepo kwa mkopo tu na unajua kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Yusufu yupo uwanjani anatuwakilisha.
Yusufu Yurary Poulsen baba yake ni mtu wa tanga mama mtu wa denmark.
Croatia nae anaagaNzuri mpwa
Mimi baada ya Germany na Portugal kutolewa nimehamia kwa France na Croatia.
Pole sana
Google Yousuf Yurary Poulsen. Huu si utani. Ni mdenmark ila baba yake mtanzania. Yupo uwanjani sasa na denmark.Endeleeni kujidanganya
Assimilation policyFrance is The Only African Team Left In the World Cup.
France World Cup Players
1) Presnel Kimpembe - Congo
2) Samuel Umtiti - Cameroon
3) Paul Pogba- Guinea
4) Kylian Mbappé - Cameroon/Nigeria
5) Ousmane Dembélé - Senegal/Mali
6) Corentin Tolisso - Togo
7) N'Golo Kanté - Mali
8) Blaise Matuidi - DR Congo, Angola
9) Steven Nzonzi - DR Congo
10) Steve Mandanda - DR Congo
11) Adil Rami - Morocco
12) Nabil Fekir - Algeria
13) Djibril Sidibé - Senegal
14) Benjamin Mendy - Senegal
Wifi mzima.Nzuri mpwa
Mimi baada ya Germany na Portugal kutolewa nimehamia kwa France na Croatia.
Pole sana