Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hii ni afrika unite.
 
Nzuri dear,yani nilikuwa nimesahau hadi jinsi ya kulike [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimehangika kama dakika 1 hivi ndio nikaweza [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli ujue nilikuwa naona kule KT I'd ya nifah nikasema labda mtu tu kaamua kutumia tulikumiss jamani nimefurahi mnoo kukuona mwambie the bold aje atuendelezee story
 
Kule kwa New Villager ndio mimi mpenzi,yani nina bahati mbaya nilipanga kurudi JF baada ya Ramadhan... Imeisha JF nayo ipo kwenye ban.
Ndio ikabidi niwafuate kule KT
Asante mpenzi [emoji1488]
 
Hahahah kwa new villager jamani tulikuwa wakimbizi ghafla dah bora tumerudi nyumbani
Kule kwa New Villager ndio mimi mpenzi,yani nina bahati mbaya nilipanga kurudi JF baada ya Ramadhan... Imeisha JF nayo ipo kwenye ban.
Ndio ikabidi niwafuate kule KT
Asante mpenzi [emoji1488]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli ujue nilikuwa naona kule KT I'd ya nifah nikasema labda mtu tu kaamua kutumia tulikumiss jamani nimefurahi mnoo kukuona mwambie the bold aje atuendelezee story
Kule kwa New Villager ndio mimi mpenzi,yani nina bahati mbaya nilipanga kurudi JF baada ya Ramadhan... Imeisha JF nayo ipo kwenye ban.
Ndio ikabidi niwafuate kule KT
Asante mpenzi [emoji1488]
Na mimj nikikuwa na wasiwasi nilidhani kuna mtu kaiba ID yako, niliwahi kukuuliza unatumia ID gani ya JF ili niweze kujiridhisha.
 
Argentine,Portugal,Germany,Spain hawapo utasema kuna kombe la dunia tena hapo.
Kwani hizo timu zimejitoa? Yawezekana viwango vyao vimeshuka au timu zingine nazo zimepanda viwango
 
Na mimj nikikuwa na wasiwasi nilidhani kuna mtu kaiba ID yako, niliwahi kukuuliza unatumia ID gani ya JF ili niweze kujiridhisha.
Mm hata kuuliza niliogopa nilikuwa naipita tu sababu KT kule watu wana majibu ya shombo matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…