Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hali ngumu hii hata kombe la dunia silifaidi jamaa kaniuliza unashabikia timu gani nikajikuta namjibu ST marys kumbe nawaza ada!
 
Waingereza huko bbc wako kwenye forum wakidai croatia wanamuhandle fresh kabisa, nawashangaa hawajacheza na colombia bado ila wanaona wameshapita.
Natamani wafungwe mapema zaidi.

Hawana lolote wale,maneno mengi tu.
Ila njia yao tambarare sana,wamewekewa vibonde watupu!
Wanaweza kufika nusu fainali ila sio kuchukua kombe.
 
IMG_20180629_010130.jpg

Mimi nasubiri nione mkeka wangu sehemu utakapochanikia kwa siku ya leo
 
Njia pekee ya Tanzania kuchukua world cup ni kuliiba tuu,,,,,,, au kutangaza kuwa linaongeza nguvu za kiume,,,, apoo ndo utajua Tanzania wanajua mpira au laaaah
 
Njia pekee ya Tanzania kuchukua world cup ni kuliiba tuu,,,,,,, au kutangaza kuwa linaongeza nguvu za kiume,,,, apoo ndo utajua Tanzania wanajua mpira au laaaah
ikitangazwa linaongeza nguvu za kiume, Watanzania watafia uwanjani, hawatakubali kulikosa
 
mabingwa wapya wa dunia Belgium leo tutakua tunacheza game ya kirafiki na wajapan...

Wanasema too much skills in one picture[emoji23] [emoji23] [emoji41]
IMG_20180702_132433_884.jpg
 
Fungwa tu,mi mpk mda huu Niko Croatia na brazuka wakufungwa bassi
 
Kwa kweli najaribu kuona radha tofauti ya uchezaji katika fainali hii inayoendelea ya FIFA kombe la dunia na ile ya UEFA ligi ya mabingwa sijaipata.
Ningependa kuona tofauti ya ligi za nchi mbalimbali kama vile CAF walivoanzisha 'CHAN'.
Hili inabidi FIFA walitafakari kwani UEFA wakisikia tu pana nyota hasa Marekani ya Kusini lazima wamvute Ulaya.
 
Back
Top Bottom