Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Bado masaa machache tu. Hii mechi Brazil anashinda mapema tu hakuna extra timeNiliwamind Mexico kwa kuifunga Germany yangu ila leo niko upande wao,sioni namna ambayo Brazil anaweza kuchomoka mbele ya hawa jamaa.
Blaki Womani [emoji41]
Hongera Mpwa lakini wakazane robo fainaliNi kweli Mkuu,hii sio ile Croatia ninayoijua.
Ngoja tuone hiyo robo fainali dhidi ya Russia itakuwaje.
Waingereza huko bbc wako kwenye forum wakidai croatia wanamuhandle fresh kabisa, nawashangaa hawajacheza na colombia bado ila wanaona wameshapita.
Natamani wafungwe mapema zaidi.
Bado masaa machache tu. Hii mechi Brazil anashinda mapema tu hakuna extra time
Hongera Mpwa lakini wakazane robo fainali
Mwaka huuu utahamia hadi colombia,,,, this is world cup,,,, hatuangalii majina ni kujituma tuuu,,,, leo brazili anaweza kulala mbele kama kawaidaMi nashabikia Russia na Brazil
ikitangazwa linaongeza nguvu za kiume, Watanzania watafia uwanjani, hawatakubali kulikosaNjia pekee ya Tanzania kuchukua world cup ni kuliiba tuu,,,,,,, au kutangaza kuwa linaongeza nguvu za kiume,,,, apoo ndo utajua Tanzania wanajua mpira au laaaah
Mpaka sasa amebaki Ufaransa tu kati ya hawa.(A) In reality Kombe lipo hapa..
-Germany
-France
-Argentina
-Spain