mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
nitahamahama timu mpaka nilipate kombe la dunia
karibu nyumba ya mabingwaFungwa tu,mi mpk mda huu Niko Croatia na brazuka wakufungwa bassi
hawajielewi hao toka aondoke maximo zile hamasa ziliwasaidia sanaWachezaji wa Taifa Stars wana habari na haya maumivu yako Mkuu?
Tatizo unaweza kuhamia team moja siku ya fainali kisha timu hiyo ikafungwa na hapo ndipo utakapo likosa hilo kombe la dunia!nitahamahama timu mpaka nilipate kombe la dunia
Uruguay wamenifurahisha sana aiseehkaribu nyumba ya mabingwa
Uruguay japan na mexco. usije sema hukukaribishwa
wote nje haoColombia/Mekiko
nataka nihamie timu iliyojaa wakimbizi kutoka afrikaKuna rafiki yangu timu zake zote alizozitumaini zilishang'oka(Germany,Portugal).
Amebaki yupo yupo kama Jeshi la wafu.
Twende na Brazil Samba.
germany watoto wengi sana kumbuka wale watoto walichukua ubingwa wa kombe la mabara palepale russiaYaani Mjerumani alichonifanyia.... daah..
ila sishangai washazeeka wengi. hata siliangalii tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jf noma sana.ikitangazwa linaongeza nguvu za kiume, Watanzania watafia uwanjani, hawatakubali kulikosa