Kina Boateng... muller na kipa nilijua watatumia uzoefu wao kuibeba timu... ila Boateng utafikiri mzee aiseeh.germany watoto wengi sana kumbuka wale watoto walichukua ubingwa wa kombe la mabara palepale russia
Hahahaha DuuuhChile labda ya inayoshiriki ndondo cup
Yaani Mjerumani alichonifanyia.... daah..
ila sishangai washazeeka wengi. hata siliangalii tena.
Wewe ndiyo timu ipi ten?hahahahah pole jirani mie ninafuraha hadi leo
Na asipokuwa makini atachezea kichapoBrazil leo kakutana na mwanaume
Ni hatariLeo naymar hapaki rangi, hawajamaa Mexico ukipoteza mpira wapo golini kwako.
Hawa wala ganda hawana utani aisee.Brazil leo kakutana na mwanaume
Kila dakika wanapiga hodi golini kwa brazilHawa wala ganda hawana utani aisee.
Brazil wanapelekwa puta puta sana
Hamna drama kama za Portugal na SpainKila dakika wanapiga hodi golini kwa brazil