Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Japo ningependa kuona Japan wakifanya maajabu usiku huu, lakini bora Belgium wabaki waje kuwashughulikia Brazil .
 
Waafrika hadi mashabiki tunafungwa.Brazil na Belgium wakikutana haitakuwa mechi rahisi


Nimeangalia game ya Brazil vs Mexico hapa, ilikuwa 50/50. Kilichotokea ni kwamba, Brazil wametumia vizuri 2 of their chances, kwahiyo ninachosema, Brazil akicheza na Belgium, any team can win the game.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi Brazil damu!hapo hapa kati ilikua inaniangusha mnoo!siiamini hii timu!kwa sasa

Bora uendelee kukosa imani hivyohivyo maana mkikutana na Belgium hutoumia sana kuliko ukiwaamini mabishoo wale [emoji12]
 
Bora uendelee kukosa imani hivyohivyo maana mkikutana na Belgium hutoumia sana kuliko ukiwaamini mabishoo wale [emoji12]
Acha tu yaani!Leo yenyewe mpira nimeuogopa nimeuangalia jf[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] maana mexico sio wabaya!!hapa naogopa balaa!!!na hii preshaa
 
Mie ni nani hadi niache kuwa upande wa De Bruyne?
Naraguchi na Honda safari imekwiva.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mie nampa mbelgiji japa natamani afungwe[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mpo jamani,wale tuliokuwa wote hapa 2014,by Gods Grace we are here again,to let you know,Iam team France,Brésil and Belgium.Haya twendeni kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…