Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Tusubir huenda watakuja na mbinu nyingine kutoka chumbaniWakipanic tuu,..tunakusanya virago
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubir huenda watakuja na mbinu nyingine kutoka chumbaniWakipanic tuu,..tunakusanya virago
bora imerudi kwa kweli....maana unaweza kukaa ndani peke yako kimwili lkn kiroho upo na wana jf mnacheck game[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila bora jf imerudi kabla ya WC kuisha
Ngapingapi mkuu?Hii mechi hii, kwa mbali naanza kuona mtu mzima akielekea kuaibika hapa.
0-0Ngapingapi mkuu?
Hii mechi haifiki extra time Belgium anashinda ndani ya dk 90hawa Belgium wasitufanye tukeshe jamani....
[emoji23][emoji23]Tusubir huenda watakuja na mbinu nyingine kutoka chumbani
Mkuu mkeka unapumua kwa tabu sanaTusubir huenda watakuja na mbinu nyingine kutoka chumbani
2 tuu zinawatosha JapanHii mechi haifiki extra time Belgium anashinda ndani ya dk 90
Natamani hawa Belgium wakutane na Brazil ili wafundishwe soka2 tuu zinawatosha Japan
Mmh mbele ya hawa maninja usijiamini sanaHii mechi haifiki extra time Belgium anashinda ndani ya dk 90
Akuje aingie,namsubir kwa hamu na Okazaki...Super Sub hiyo subiri utamuona tu.
Bado anafanya mazoezi yake ya uninja huko.
zisije zikawatosha belgium hizo.2 tuu zinawatosha Japan
Atakayefundishwa ni nani?Natamani hawa Belgium wakutane na Brazil ili wafundishwe soka
Ngoja tuone majibu ya kipindi cha pili,.zisije zikawatosha belgium hizo.
Belgium wakiongeza umakini kidogo mambo yatakua mazuriMmh mbele ya hawa maninja usijiamini sana
aninj mazoezi yao ya ngumi wanayatumia kwenye mpiraMmh mbele ya hawa maninja usijiamini sana