HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Kumekucha. Wameshindwa kupaki basiNasema hivii "mtoto yake nepi tuu"
Haya naomba futa machozi sasa hapo
Hahahahaa hawatawezaaKumekucha. Wameshindwa kupaki basi
Umeona eeeh!Japana wana mechi ya kitoto ambayo haikeshi wala kulala na pipi [emoji3][emoji3][emoji3]
Unaongozaje 2-0 zinarudi zote?
Ndiioooo[emoji16][emoji16]Haa haa haa umeamka
Wajinga sana hao wamejiset wenyewe
Thanaaa[emoji16]Mpira raha jamani.
Honda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pikipiki hiyo imeingia sasa
WameniudhiUmewageuka tena? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila Bado nawapa sapotiUmewageuka tena? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Timu ya kumzuia Brazil ni Ufaransa tuAcha kuota bado mapema
Amen na neno lako litimi.belgium nao watatolewa kwa penalty