Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 807
Naunga mkonyo hoja. tena afrika mpira unashuka kwa kasi sana.Asia mpira wao unapanda kwa kasi huki afrika ukishuka. Waasia ni wazalendo sana kuvaa jezi za taifa, wanazipigania. Korea walimtoa jasho ujerumani.