Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Wamenikera hao jamaa aiseee wakienndaMkuu kama umemind hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
bila shaka watamsajiliHuyu golikipa anajituma kweli bila shaka Liverpool watakuwa wanamuona kwasasa
Huyu kipa kala supu ya chura mbna anaruka hiviπππ
Dalili zinaonekanabelgium nao watatolewa kwa penalty
Wana wafanyia vibaya kisa ufupi wao, ila mungu atawaona.Naona Belgium wanaamua kutumia advantage ya vimo vyao, mwendo wa majaro.
ππππππππWenye mandevu wote watarudi home
Wana wafanyia vibaya kisa ufupi wao, ila mungu atawaona.