Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kosa kubwa ni wengi wao kuvutika kwenda kwenye kona dk za majeruhi, wamepigwa kaunta moja hatari.Kosa kubwa ni kumuacha De Bruyne kukokota mpira kwa umbali mrefu ule
Ila wamepambana jamaa sio kidogo,wamekufa kiume hahaaGame over, maajabu ya mpira
Hahaha hatimayee
Unajua maumivu kiasi gani wanayapata japan usiku wa leo!?
Usiombe ikutokee.
Ila wamepambana jamaa sio kidogo,wamekufa kiume hahaa
Anazaa buana,sema kazaa dume leo[emoji23]Ng'ombe wa maskini hazai
Kwa taabu kwelikweli hahhakwa taabu sana eeeh??