Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Chadli na fellain super subs hapo ndio unaona umuhimu wa kocha kukaa na kikosi muda mrefu, sio Spain siku moja kabla ya WC unamfukuza kocha, anampa kazi mtu mwengine ambaye hajui set up ya team ipo vipi.
 
Wajapani bhana! Wamekaza weeh, wamekuja kulegea mwishoni kabisa. Pamoja na makosa yaliyotaka kuwagharimu belgium at last wanakwenda kukipiga na Brazil robo fainal.
Hongera kwa belgium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…