Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 807
Wametoa kila kitu walichonacho katika mchezo huu ila inakuja swala la ubora ndio limewaangusha. Naamini kwao watapokelewa kwa furaha sana.Hongera pia kwa Japan wamecheza game na timu ngumu na iwepata changamoto mpaka dk za mwisho....halla Japan say hello to goodbye!!!
Do u believe now?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] nlikuambia nampa Belgium!!!Ila wamepambana jamaa sio kidogo,wamekufa kiume hahaa
Nyie wakina nani?
John Boko au?
Kweli kabisa, makosa madogo madogo tu yamewaponza hawa.Ila wamepambana jamaa sio kidogo,wamekufa kiume hahaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wametugomboa na usingzi.
Mwana ukome hiyo.
Wana haki kwakweli kupokelewa kishujaa kwao,.Wametoa kila kitu walichonacho katika mchezo huu ila inakuja swala la ubora ndio limewaangusha. Naamini kwao watapokelewa kwa furaha sana.
I believed darling,..ua such a mtabiri[emoji6][emoji6][emoji111]Do u believe now?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] nlikuambia nampa Belgium!!!
Yakashi Inui, anataka kunitoa rohoHili goli litawapa discipline Japan
Pole mama hamia BrazilTungejua tungedefend tu ss wajapani...
Kumbe nilijua Taifa stars nikataka nikuulize kwa maaana umesahau ugonjwa wetu.Sie Wabelgiji tunaopatikana huku Mbagala
Hapana Belgium ni timu kubwa!ni sawa kulinganisha semi tela na bajajI believed darling,..ua such a mtabiri[emoji6][emoji6][emoji111]
Kumbe nilijua Taifa stars nikataka nikuulize kwa maaana umesahau ugonjwa wetu.
Nani Man of the match kwa upande wako?
Japan wametoka kiume kama ilivyokuwa DenmarkHata zikirudi ila joto la jiwe wamelipata.