Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna wametumia tafsida tuu kusema kufa kiume,.imechukuliwa kama " kupambana" kujitoa kwelikweli pamoja na vikwazo vyoote hukubali mpaka kieleweke,.no kukata tamaa kirahisi rahisi,.ni maneno tuu ya kiswahili/uswahili[emoji16]
 
Ila japan wame advance tactically kimpira ,sasa tatizo lipo africa au mataifa yetu yanapigana ndumba hadi timu za taifa?
Japan waliwekeza ,naona ushauri wa kocha wao wa zamani mbrazili Zico unafanya kazi ,hawa wako siku tutawaona fainali ya WC
 
Wale ndugu zangu waingereza yenye mashabiki wenye kelele kesho wajiandae na safari ya kurudi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…