Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna wametumia tafsida tuu kusema kufa kiume,.imechukuliwa kama " kupambana" kujitoa kwelikweli pamoja na vikwazo vyoote hukubali mpaka kieleweke,.no kukata tamaa kirahisi rahisi,.ni maneno tuu ya kiswahili/uswahili[emoji16]Unakuta mtu unapambana kabisa...unafeli mwishoniii...mtu anakwambia pole umekufa kiume[emoji1] [emoji23] kufa ni kufa tu bhana...aliyekufa kiume na aliyekufa kikike wote mtaoza tu[emoji23] nahisi haka kamsemo kaliwekwa kuwafariji tu watu kinaa naa too[emoji35]