HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Safari yao imefika, saa 23:50 usiku tutajua mbivu na mbichi. Waswahili ya ulaya lazima wasepeEngland wanapita na kufika fainali.
Ubao unasomekaje huko.Safari yao imefika, saa 23:50 usiku tutajua mbivu na mbichi. Waswahili ya ulaya lazima wasepe
Bila bila kiongoziUbao unasomekaje huko.
Mimi sijaenda bandani nasubiri saa 3 usiku
Leo wanapita england. Kisha kukutana na mmoja wa hawa swideni na switzerland ni mteremko. Fainali ni uingereza na uruguay.Safari yao imefika, saa 23:50 usiku tutajua mbivu na mbichi. Waswahili ya ulaya lazima wasepe
Au movie tuTimu za Leo bora ukatazame Kagame Cup
Hii mechi bora utazame senema tuAaah..Leo mm mpenzi mtizamaji tuu...ww wapi leo nikupe sapoti??nasubiri cha SAA 3 usiku kwa ham...
Hahhaa,..wamerudi vzr lakini kipindi hiki cha piliHii mechi bora utazame senema tu
Uruguay kwa France achomokiLeo wanapita england. Kisha kukutana na mmoja wa hawa swideni na switzerland ni mteremko. Fainali ni uingereza na uruguay.
Mie toka yule striker wa Sweden apaishe first half ile nafasi sio km wana la maanaHahhaa,..wamerudi vzr lakini kipindi hiki cha pili
wapiIT IS COMING HOME, FOOTBALL IS COMING HOME!
Mtashangaa sana hawa vijana watakavyoinyamazisha dunia safari hii.
Uingereza ndio mabingwa mwaka huu.wapi
Uingereza!!!...ngoja tuoneUingereza ndio mabingwa mwaka huu.
hapana...Uingereza ndio mabingwa mwaka huu.
Kama hawachukui basi wanafika fainali.Uingereza!!!...ngoja tuone
Wapo kwenye upande mrahisi wa kufika fainali,tofauti na france,belgium,na brazilKama hawachukui basi wanafika fainali.