Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
My fingers crossed [emoji1]Duuh! Mie kwa Brazil nitajiaminisha akichomoka kwa Belgium kwenye robo fainali.
France naye kama atachomoka kwa Uruguay basi inaweza sogea sogea na hata kuchukua pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My fingers crossed [emoji1]Duuh! Mie kwa Brazil nitajiaminisha akichomoka kwa Belgium kwenye robo fainali.
France naye kama atachomoka kwa Uruguay basi inaweza sogea sogea na hata kuchukua pia.
me pia nahisi RussiaMmh. Hapo kwa Russia sidhani Kaka.
Ila World Cup ya mwaka huu imekuwa tofauti mnooo huenda Russia akalitwaa na yeye.
Klabu zao zina wachezaji wengi na mahiri kutoka nchi zingine jambo ambalo inaifanya ligi yao kuwa imara.Na mie naona kama ana asilimia ndogo pia.
Ila najiwaziaga kwa nini ligi yao huwa iko juu ila upande wa National Team ni mwendo wa tia maji tia maji?
Mwifwa na wewe ushawahi jiulizaga na ni nini sababu?
Inawezekana sababu ikawa kochaNa mie naona kama ana asilimia ndogo pia.
Ila najiwaziaga kwa nini ligi yao huwa iko juu ila upande wa National Team ni mwendo wa tia maji tia maji?
Mwifwa na wewe ushawahi jiulizaga na ni nini sababu?
Naweza amini pia Mkuu na nadhani wingi wa wachezaji wa kigeni pia nayo ni sababu Mkuu.Wana promo nzuri
Hahahaaa. LolMy fingers crossed [emoji1]
Umeonaeee. Mara nyingi ukiwa mwenyeji unakuwa na ka zari flani hivii.me pia nahisi Russia
Hahahaaa. Mdogo wangu umeandika nilichokifikiria na hiyo ndio sababu.Klabu zao zina wachezaji wengi na mahiri kutoka nchi zingine jambo ambalo inaifanya ligi yao kuwa imara.
Kama wangekuwa wao pekee kwenye klabu zao isingekuwa hivyo.
Hilo jambo ndio lipo sasa kwa Timu ya Taifa ambapo wachezaji ni wa kawaida tu.
Yah. Ila wachezaji wao pia ni wakawaida mnoooo.Inawezekana sababu ikawa kocha
Ni kweli na wana uwekezaji mzuri piaNaweza amini pia Mkuu na nadhani wingi wa wachezaji wa kigeni pia nayo ni sababu Mkuu.
Ewaaaaa.Ni kweli na wana uwekezaji mzuri pia
England ni timu kubwa toka lini? Alafu uruguay timu ndogo kuliko england kwa mtazamo wa wengi kisa hawapigagi kelele ktk media.Kwa mwenendo wa hii michuano ambapo timu kubwa kubwa zinaondoka, hatutashangaa England ikiondoka pia, tusubiri tutaona lolote litakalotokea
Hahahaaa. Lol.Wana mbwembwe hawa ,nawasubiria niwaone watakavyopasuka leo.
View attachment 801604
Siwezi kupingana na wewe.England ni timu kubwa toka lini? Alafu uruguay timu ndogo?
Hahahaaaa.
Upo sahihi kabisaSiwezi kupingana na wewe.
Zilipokutana Portugal na Uruguay zote zilikuwa kubwa, ilipoondoka moja si ndio tunasema timu kubwa imeondoka japo iliyobaki nayo ni kubwa.
England kwa hadhi iliyonayo huwezi kuifananisha na Morocco, ndio maana ninasema ni timu kubwa.
Ni mtazamo mkuu, hamna tatizo. Tupo pamoja.Siwezi kupingana na wewe.