Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Huyu ndie captain atakaenyanyua kwapa
FB_IMG_1530607128087.jpg
 
Hakuna tim my ukhti nnayoipenda kama ARGENTINA..basi haikuwa bahati yetu. Na hata hivyo hawakuwa vizuri and coach amechangia kuivuruga timu.

Ningependa kati ya Belgium or Russia watwae 😛
Mm Argentina katoka,Japan naye kanila za uso Jana....,sahivi nimekaa kikimbizi...hawa France na Belgium walonitolea timu zangu ndo itabidi wawe opponents wangu....arghhh!![emoji35] [emoji35] [emoji1]
Brazil piga hao Belgium....
 
Waingereza na ndoto za IT'S COMING HOME!

20180703_140811.png

Kwenye forums zao kama bbc huko hakukaliki. Yaani wanaamini kabisa sasa ni wao.
 
Hakuna tim my ukhti nnayoipenda kama ARGENTINA..basi haikuwa bahati yetu. Na hata hivyo hawakuwa vizuri and coach amechangia kuivuruga timu.

Ningependa kati ya Belgium or Russia watwae 😛
Mmh. Hapo kwa Russia sidhani Kaka.

Ila World Cup ya mwaka huu imekuwa tofauti mnooo huenda Russia akalitwaa na yeye.
 
Back
Top Bottom