Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Argentina alikuwa keshamzimisha France ile siku....mm nilihamaki France anapataje 4 goals!!!! Timu inacheza mpira mbovu na kina Australia huko....Haka ka-mbappe walikaachia sana wakakasahau...Hii mechi ndo niliyompa Argentina uhakika wa kushinda....Sampaoli akaniangusha....Aguero siyo mchezaji wa kuanzia benchi hata kdogo....Higuain!!!????[emoji19] [emoji19] [emoji35]Hata mimi nimeumia ila kocha ni mzembe,huyu Mbappe alishaonyesha kua ni threat toka mwanzo ila alishindwa kumfanyia marking! angewekewa hata midfielder mmoja atembee nae.