Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Na mie naona kama ana asilimia ndogo pia.

Ila najiwaziaga kwa nini ligi yao huwa iko juu ila upande wa National Team ni mwendo wa tia maji tia maji?

Mwifwa na wewe ushawahi jiulizaga na ni nini sababu?
Klabu zao zina wachezaji wengi na mahiri kutoka nchi zingine jambo ambalo inaifanya ligi yao kuwa imara.

Kama wangekuwa wao pekee kwenye klabu zao isingekuwa hivyo.

Hilo jambo ndio lipo sasa kwa Timu ya Taifa ambapo wachezaji ni wa kawaida tu.
 
upload_2018-7-3_15-39-47.png
 
Attachments

  • upload_2018-7-3_15-38-20.png
    upload_2018-7-3_15-38-20.png
    15.4 KB · Views: 15
Klabu zao zina wachezaji wengi na mahiri kutoka nchi zingine jambo ambalo inaifanya ligi yao kuwa imara.

Kama wangekuwa wao pekee kwenye klabu zao isingekuwa hivyo.

Hilo jambo ndio lipo sasa kwa Timu ya Taifa ambapo wachezaji ni wa kawaida tu.
Hahahaaa. Mdogo wangu umeandika nilichokifikiria na hiyo ndio sababu.

Hii ndio sababu Kuu yaani ligi yao inapaishwa na wageni na sio wazawa.
 
Kwa mwenendo wa hii michuano ambapo timu kubwa kubwa zinaondoka, hatutashangaa England ikiondoka pia, tusubiri tutaona lolote litakalotokea
England ni timu kubwa toka lini? Alafu uruguay timu ndogo kuliko england kwa mtazamo wa wengi kisa hawapigagi kelele ktk media.
Hahahaaaa.
 
England ni timu kubwa toka lini? Alafu uruguay timu ndogo?
Hahahaaaa.
Siwezi kupingana na wewe.
Zilipokutana Portugal na Uruguay zote zilikuwa kubwa, ilipoondoka moja si ndio tunasema timu kubwa imeondoka japo iliyobaki nayo ni kubwa.

England kwa hadhi iliyonayo huwezi kuifananisha na Morocco, ndio maana ninasema ni timu kubwa.
 
Upo sahihi kabisa
 
Ni mtazamo mkuu, hamna tatizo. Tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom