Heheheee kiswahili kiswahili hahhaahHeri nusu Shari kuliko Shari kamili...
Nimeanza kukumbuka kiswahili[emoji4] [emoji4]
Yaanii,.doh[emoji22]Colombia natamani washinde ila wanacheza mpira wa ovyo
eti hawa ndiyo wachukue ndoo.??? hii hiii.Kwa mpira huu wa butua butua England hawafiki kokote [emoji23]
Haha....lugha nzur sana hii..Heheheee kiswahili kiswahili hahhaah
Ww hujaona dalili yoyote ya England kuipiku Spain??
Hii mechi inaleta usingizi ni tofauti na nilivyo tarajiaYaanii,.doh[emoji22]
iko wapi Spain?? football it's all about resultsKwa mpira huu wa butua butua England hawafiki kokote [emoji23]
Sio kwamba amepitwa completely... Sawa anafanya vzr champions league sikatai....haukumbuki kipindi kile nusu fainali timu 3 za Spain!!!! Ila angalia sasa hv zinavyoanza kupoteza nguvu....ni kama England miaka ile ya 2004-2008 ndipo akaanza kupotezwa na Spain kidogokidogo.....mi naona mambo yatakuwa vice versa muda si mrefuAcha football iongee, kipimo chetu ni champions league na bado Spanish teams rule. Ukiangalia hata Europa league waingereza bado wanapigwa tu
Kabisaaa chief,.yaani hiki kipindi cha pili sijui kitakuwaje...nahisi usingizi mm[emoji22]Hii mechi inaleta usingizi ni tofauti na nilivyo tarajia
Sio kwamba amepitwa completely... Sawa anafanya vzr champions league sikatai....haukumbuki kipindi kile nusu fainali timu 3 za Spain!!!! Ila angalia sasa hv zinavyoanza kupoteza nguvu....ni kama England miaka ile ya 2004-2008 ndipo akaanza kupotezwa na Spain kidogokidogo.....mi naona mambo yatakuwa vice versa muda si mrefu
...
Ngoja ni check kidogo kama mambo ni hivi hivi naenda kulalaKabisaaa chief,.yaani hiki kipindi cha pili sijui kitakuwaje...nahisi usingizi mm[emoji22]
Kabisaaa chief,.yaani hiki kipindi cha pili sijui kitakuwaje...nahisi usingizi mm[emoji22]
Me nishajongea kwenye chumba cha mapumziko...nahisi baridi tuu aahgNgoja ni check kidogo kama mambo ni hivi hivi naenda kulala
Aahh,.me wakoloni wa kazi gani buanaaKama unashabikia England bora kalale tu
Nitakupa matokeoMe nishajongea kwenye chumba cha mapumziko...nahisi baridi tuu aahg