Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Acha football iongee, kipimo chetu ni champions league na bado Spanish teams rule. Ukiangalia hata Europa league waingereza bado wanapigwa tu
Sio kwamba amepitwa completely... Sawa anafanya vzr champions league sikatai....haukumbuki kipindi kile nusu fainali timu 3 za Spain!!!! Ila angalia sasa hv zinavyoanza kupoteza nguvu....ni kama England miaka ile ya 2004-2008 ndipo akaanza kupotezwa na Spain kidogokidogo.....mi naona mambo yatakuwa vice versa muda si mrefu
...
 
Ndio maana nikasema let football speak.
 
Kwa nini James Rodriguez hakai kwenye bench anaenda kukaa kwa mashabiki huku kwenye kikos cha Sub katajwa?
 
Back
Top Bottom