Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Utafanya jambo LA busara sana wa mm..Nitakupa matokeo
Ngoja tusubir.....Ndio maana nikasema let football speak.
Kama Nigeria tu mkuu....sidhani kama kabebwa...England hawawezi kuwa mabingwa na njama hizi.
wajikaze kama wenzao Belgium janaColombia msikate tamaa
Chezea watoto wa malkia"Mpira filimbi nyingi kama ngoma ya kinyumbani!