Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mimi sioni hata mipango ya waingereza zaidi ya kucheza na refa maguire na lindgard wote walistahili yellow, wanajirusha rusha ili wapewe Penati nyingine.
 
Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji

Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Mpira ushaisha huu refa katuharibia Burudani.
 
Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji

Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Oyoooooooo kaka nimefuta kauli.
 
Back
Top Bottom