joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
haikuwa penati??Tatizo hizo sheria 17 anaply upande mmoja tu.
Basi mbona kile kiatu alichopigwa falcao, mbona haijawa red, kama sheria zitumike upande wote.haikuwa penati??
Mpira ushaisha huu refa katuharibia Burudani.Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji
Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Oyoooooooo kaka nimefuta kauli.Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji
Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Nilisema na yametimiaTrick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji
Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Nilisema na yametimia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya chenji imerudi