Wamependelewa sana england.
Huyu refa n kama amemeza mpunga waHuyu refa mmarekani kawabeba sana, akachezeshe mls.
Sijakuelewa , nilisema it was obvious columbia wali dominate midfield kwa uzembe wa England. Kwa njia hiyo walikata mawasiliano ya beki na fowadi ya EnglandWho ya got in this one?
Huyu refa n kama amemeza mpunga wa
Waingereza maana co Kwa kuwa beba huko
Aiseee
Sijakuelewa , nilisema it was obvious columbia wali dominate midfield kwa uzembe wa England. Kwa njia hiyo walikata mawasiliano ya beki na fowadi ya England
England wakakaribisha mashambulizi
Columbia walijua England wana 'touch game' na njia rahisi ni kuwa frustrate
Hilo likafanikiwa kwa kuwafanya England wacheze kama wao. Hapo ndipo England walipopoteza network kabisa
Dhuuuuu Sasa hapo anafkir anacheza na . mademHuyu Refa kazoea kuchezesha mpira wa mademu huko Marekani . Ndio maana filimbi mtindo mmoja