Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kuna mashine moja ilipigwa mita kama 40 aliyocheza kipa na kuleta kona ya colombia iliyozaa goli, sijaiona bado ktk replay. Jamaa alikunjuka mita 40.
 
Rejea zako tu katika Kichwa cha Habari husika kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako tafadhali.

Nawasilisha.
 
Yaan England haina mipango kabisa...hakuna midfielder wa kupiga killer passes matokeo yake striker mzuri wanategemea foul..kona na penalty
 
Jana nilisema Columbia ni underdog kwa hii mechi, lakini England wasijisahau kuwa Columbia ni timu kutoka Latin A , wanaweza kuduwazwa

Na hapo their [Colombia] best player hayupo!

Hahahaaaa England bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…