PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Hivi kwa nn uingereza walimuacha wilshare, timu haina mipango ila sio mbaya sisi wa colombia tunasubiria goli letu la pili.
Refa hataki Colombia washinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nn uingereza walimuacha wilshare, timu haina mipango ila sio mbaya sisi wa colombia tunasubiria goli letu la pili.
6'5, sio 6'4. Nimecheki online, kamzidi bolt.li mina lirefu hatari.....namfananisha na usain bolt
lol, NN huku michungwani lugha bwana. Hii ngoma itaenda penaliti na hawa Columbia kama Latin America ni wazuri. England kuendelea ni kama 45% as it is nowWho ya got = who do you think will win?
Nashukuru nawe umeona hii, nafikiri ni mmarekani mwenye asili ya uingereza.Refa hataki Colombia washinde
Mungu wa England ndio huyo huyo wa Colombia.[HASHTAG]#TeamColombia[/HASHTAG]..
Gonga like twende sawa...
Ile ilikua Kwa ajili ya waafricaVAR ina kazi gani refa kaaribu mechi.
Colombia anachapwa bila shida
.Dk 90 zitasema...
Jana nilisema Columbia ni underdog kwa hii mechi, lakini England wasijisahau kuwa Columbia ni timu kutoka Latin A , wanaweza kuduwazwaHumu wengi naona ni Team Colombia
Nimeona Hilo. Refa kawabeba la hawabebekiIle ilikua Kwa ajili ya waafrica
Tu
Jana nilisema Columbia ni underdog kwa hii mechi, lakini England wasijisahau kuwa Columbia ni timu kutoka Latin A , wanaweza kuduwazwa