Drax001
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 443
- 228
Kichwa Kichafu Upo Taifa Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijari Ngoja Niumezeshe 4Gmbona uzi upo kichovu sana
Mimi mkazi wa korea kaskazini naomba mara moja uache kutumia jina la mji wetu pendwa PyongyangJamani Tujuwane Kabisa Mimi Nipo South Korea
Habari Zenu Wapenzi Wa soka Wote.
Nawakaribisha Katika Thread Hii Maalumu Kabisa Kwaajili Ya Kombe La Dunia Mwaka Huu 2018.
kwakifupi Humu Tutabadilishana Mawili Matatu Yanayohusu KOMBE LA DUNIA
(FIFA WORLD CUP]
sahauArgentina chini ya King Messi,lazima kombe liende Buenos aires.
Mmmh 900 Itapendezaedit uzi wako kwa kuongeza timu ngapi zinashiriki zipi zinapewa nafasi ya kushinda kwa sababu zipi ukiongeza na tupicha tuwili tutatu itapendeza
Germany Hato Baki Salama Kwa BrazilNiko Germany naomba ifahamike hvo
Asante Bwana MchambuziNaona Ujerumani akibeba Kombe huko Russia.
Sitaki hoja ni mawazo yangu.
Hahahaa! Nisahau kwa vile huwapendi Argentina?sahau
Unaota?Kombe linakuja Africa kwa Mara ya kwanza