Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwatabiria wametekeleza, sijui mbele itakuwajeMechi imeisha kiongozi
Tukutane fainaliNiliwatabiria wametekeleza, sijui mbele itakuwaje
Refa anayeitwa VAR akichezesha basi watafikaTukutane fainali
Ngoja tusubiriRefa anayeitwa VAR akichezesha basi watafika
Poa mkuuNgoja tusubiri
Huyu jaluo wa mexico ochoa anajua kulinda boma
Brazil wamempapasa MexicoChicharito (javier hernandez) nipigie hao wacheza samba..
Nalala unono leoRefa anayeitwa VAR akichezesha basi watafika
Una bahati mbayaNiliwamind Mexico kwa kuifunga Germany yangu ila leo niko upande wao,sioni namna ambayo Brazil anaweza kuchomoka mbele ya hawa jamaa.
Blaki Womani [emoji41]
Kumekucha mkuu..amka usingiziniJapan piga mbwa...
Tayari mkuu,Neymar na Fermino wamefanya yaoNgoja tuone...
Poleee[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]Niliwamind Mexico kwa kuifunga Germany yangu ila leo niko upande wao,sioni namna ambayo Brazil anaweza kuchomoka mbele ya hawa jamaa.
Blaki Womani [emoji41]