Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japan siyo wa kuwapuuzamabingwa wapya wa dunia Belgium leo tutakua tunacheza game ya kirafiki na wajapan...
Wanasema too much skills in one picture[emoji23] [emoji23] [emoji41] View attachment 800739
Neymar anacheza Kwa mipango na impact yake uwanjani ni kubwaLeo naymar hapaki rangi, hawajamaa Mexico ukipoteza mpira wapo golini kwako.
kule nyuma wale wazee wawili walikuwa wanachimba kaburi la wajukuu wa kingpin el chapo au wanaweza kuwaita watoto wa sinaloa wazee wa ngadaNaona Brazil washamaliza kufunga turubai msiba wa Mexico.
Ilishaonekana kuanzia Dakika ya 30 kuwa Mexico wanakufaHii mechi itafika penalti
Willian yupo Slow?Yap..... Yupo slow sana tofauti na yule wa chelsea
Ngoja nichukue shuka kabisa nijifunike....Kumekucha mkuu..amka usingizini
Safari Africa hadi mashabiki tunafungwa ona Timu tunazochaguaBrazil kama wakichomoa hapa hawatoboa kwa france au belgium. Brazil wanapewa heshima sababu ya mafanikio ya zamani, ila hii ya sasa kwa kweli haina jipya. Coutinho ndio mwenye timu, Neymar yuko bize na theatrics. Jesus yuko direct zaidi ya Neymar.
Kazi kwanza maneno badayeMashabiki wa Brazil wanakuja kifua mbele sasa hivi
Wanapigwa zaidi ya goli mbiliJapan siyo wa kuwapuuza
Hazaaaaaaard wayaaaa[emoji23]Hazard goli 2
Neymar goli 2
mimi nawaangalia hawa tu kwa sasa kama MESSI na RONALDO waliobaki Russia..
Japo kuna Harry Kane goli 5, na Lukaku goli 4.
[HASHTAG]#2018Russia[/HASHTAG]
Lolote laweza tokeaWanapigwa zaidi ya goli mbili