Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Duuh,ngoma nzitooBado shilingi iko kwa mbelgiji mine!can't believe this!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh,ngoma nzitooBado shilingi iko kwa mbelgiji mine!can't believe this!!!
Kiswahili please
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Ukimaliza kujia tissue
Belgium Saizi yake ni Japan Brazil ni level nyingineNimeangalia game ya Brazil vs Mexico hapa, ilikuwa 50/50. Kilichotokea ni kwamba, Brazil wametumia vizuri 2 of their chances, kwahiyo ninachosema, Brazil akicheza na Belgium, any team can win the game.
Una bahati Mbaya nduguMie ni nani hadi niache kuwa upande wa De Bruyne?
Haraguchi na Honda safari imekwiva.
Mkuu bado upo macho...nataka nikaedit bandiko😀😀😀😀😀😀Belgium haijawahi kuwa na wachezaji wabaya kama Argentina tu.
Kojoa tu mamaLA pili....nakojoaaa
Ni hatariYeeap...ila daah joto tuu sasa
Mnoo! Weweza shangaa ngoma imelala hyooo!!Duuh,ngoma nzitoo
WameshmuwekaLukaku mnyama leo anatupia mawili.
Ntatumia nyasi tuu leoUkimaliza kujia tissue
Mpaka Sasa imeshafanywaSubiri Belgium ifanye mambo sasa hivi, waambie wafue nguo zao kabisa na kuzinyosha kisha kuzipanga kwenye mabegi yao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lukaku pita hapaNimechanganyikiwa Mkuu,sijui hata nimeandika nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpk DKK ya 90 ngoja nibanane nyonyo!Team Japan tutambuane sasa....maana wengi mlikuwa waoga
La tatu linanukia weweBado mpk DKK 90