Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Naitafuta comment yangu moja niliiweka mapemaTeam Japan tutambuane sasa....maana wengi mlikuwa waoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitafuta comment yangu moja niliiweka mapemaTeam Japan tutambuane sasa....maana wengi mlikuwa waoga
Hahaha,mkuu una bahati mbaya ww....dakika 90 wakati bado kuna Honda nje..Mpk DKK ya 90 ngoja nibanane nyonyo!
nipo hapa timu FUKUSHIMAMkuu bado upo macho...nataka nikaedit bandiko
Mwaka huu mauza uza tu mpk muda huu bingwa hajulikaniOn paper, Ubelgiji alipewa nafasi ya kushinda goli nyingi, ila uwanjani habari ni tofauti.
World Cup hii inaenda ile style ya Leicester aliyochukua ubingwa wa EPL. Kuna timu isiyopewa nafasi itabeba ndoo hii.
Mark my comment!!
dah....sina la kusemaHii mechi hii, kwa mbali naanza kuona mtu mzima akielekea kuaibika hapa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] msiwe mnabet jamani!!!Mikeka ipo ICU.
Teh teh tehHistoria lazima iandikwe.
hii ndio belgium mliotaka kuikutanisha na brazil?
Hizi timu kubwa zimetia aibu sanaBelgium washaanza kupata tabu sana.
Kunywa majiMfyuuuuu[emoji57]....em niache kwanza
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
Leo Suzuki na kagawa Leo shangwe tuu!!!Akina Toyota leo naona walilala uchi