Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeka umetikiYakashi Inui, anataka kunitoa roho
Hapana Belgium ni timu kubwa!ni sawa kulinganisha semi tela na bajaj
Tatizo leo ngoma ilikaza from the beginning,.Hapana Belgium ni timu kubwa!ni sawa kulinganisha semi tela na bajaj
Huo ndo ukweli it was jus the matter of time!Umetisha sana [emoji1433][emoji1433][emoji8]
De Bruyne
Cha umbwa koko aiseeKibao kinageuka sasa.
On paper, Ubelgiji alipewa nafasi ya kushinda goli nyingi, ila uwanjani habari ni tofauti.
World Cup hii inaenda ile style ya Leicester aliyochukua ubingwa wa EPL. Kuna timu isiyopewa nafasi itabeba ndoo hii.
Mark my comment!!
Mimi naiquote tu, ukijakuifuata itaendelea kubaki hapa kwenye comment yangu
Nadhani umenielewa...teh teh teh....sawa mzee wa kuweka rekodi sawa
France nimeipa kipaumbele, endapo wakija kukutana na Belgium nusu fainali, basi nitaangalia iatakayoshinda ndio nitaishabikia FainalCroatia na France wakitoka basi natundika daluga ya ushabiki kwenye WC hii.
Unakuta mtu unapambana kabisa...unafeli mwishoniii...mtu anakwambia pole umekufa kiume[emoji1] [emoji23] kufa ni kufa tu bhana...aliyekufa kiume na aliyekufa kikike wote mtaoza tu[emoji23] nahisi haka kamsemo kaliwekwa kuwafariji tu watu kinaa naa too[emoji35]Kwann[emoji16][emoji23]
Kabisa mkuu, kesho kuna kizaa zaa cha nguvu tu.Tukutane kesho wakati Taifa Stars ya Ulaya itakapokuwa inacheza na Colombia
Mama[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]Pole mama hamia Brazil
Mkaendelee kutengeneza Honda hukoSafi sana Japan