Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

kuna msikilizaji mmoja wa TBC amepiga simu na kuipongeza serikali ya CCM chini ya dk magufuli kwa kuiwezesha BRAZIL kufuzu robo fainali ya kombe la dunia, ameendelea kusema laiti kama brazil angefungwa basi kesho wanaume wote wangelazimika kula migahawani kwa sababu akina mama wote wangekuwa na huzuni kwa kutolewa brazil hivyo basi hasira zao wangelizimalizia kwa wanaume.
natania tu.
roberto martinez na benchi lake la ufundi wanapaswa wajitathmini, huyu carrasco ni mtumishi hewa.
 
Mbona Carasco huwa yupo vizuri sana pale Atletico Madrid?
carrasco anacheza ligi ya wachina tambi siku hizi
15232710206876.jpg
 
Bora Belgium walivyowatoa vijitu vinakimba km visheti visumbufu kama nn pole sis karibu Brazil,France,Belgium hutojuta
Nipo Brazil kwa machale....nitamshabikia dhidi ya wakaza ubongo Belgium... Hao France ndo kabisaa....ntashabikia timu yoyote ile inayocheza dhidi yao....Japan kaniangusha sana....
 
Mtazamo wangu kwa WC

1. Mexico wangeweza kuwazua Brazil. Nchi za Latin America zinajuana
Kwa bahati mbaya wacheza walikuwa na hofu wakisubiri itokee kama ilivyokuwa kwa Germany warudi kulinda goli. Walitegemea penaliti kuitoa Brazil, mbinu haikufanya kazi

2. Belgium ni timu nzuri. Kilichowatia kiwewe ni speed ya Japan wakikaribia goli
Walibadili mchezo na kwenda kasi. Japan walifanya makosa.
Kucheza na timu kama Belgium ukalinda magoli ni kukaribisha matatizo.imewagharimu

3. Uingereza wanategemea kuwafunga Colombia. Watafanya kosa kama hawatatambua Colombia inatoka Amerika kusini. Mpira wa cross unaweza kuwagharimu.
Wakifungwa moja tu, kurudisha itakuwa mbinde kama si kutoka

4. Sweden ni timu nzuri sana inategemewa kuwafunga Swiss kesho. Hili halina mjadala

Timu ninazodhani zitakazosonga mbele katika 4 bora
Uruguay , Croatia , Brazil, Sweden
 
Back
Top Bottom