Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Basi tenaaa...Hali si hali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tenaaa...Hali si hali
Jamanii Cole,.[emoji22][emoji22][emoji22]kwani me n'na nn lakiniii...Mpaka wewe
Uko Team Gani????Jamanii Cole,.[emoji22][emoji22][emoji22]kwani me n'na nn lakiniii...
Hebu rahisisha basi swali lako chief,.Uko Team Gani????
Unashangilia Team GaniHebu rahisisha basi swali lako chief,.
Hahahahaa,.. Ntakujibu SAA 3 chief chief,.usijali hili.[emoji6]Unashangilia Team Gani
Kwa mbali naona anguko la Spain..UEFA na FIFA mwaka walikuwa na kampeni ya kuirudisha England kwenye Ulimwengu wa football, wameanza na Liverpool kuipangia timu vibonde mpaka fainali, sasa timu yao ya taifa naona inakata migomba tu. Kelele nyiiingi
PoleHahahahaa,.. Ntakujibu SAA 3 chief chief,.usijali hili.[emoji6]
[emoji28]Pole
Pole sana dia,.hamia side bAisee timu zangu karibu zote chali...
Some truth within!!UEFA na FIFA mwaka walikuwa na kampeni ya kuirudisha England kwenye Ulimwengu wa football, wameanza na Liverpool kuipangia timu vibonde mpaka fainali, sasa timu yao ya taifa naona inakata migomba tu. Kelele nyiiingi
Ndio wamesha aga hivyo..pole yako tu.
Tatizo siku ya final unaweza kua upande wa team ambayo itafungwa na hapo tena unakua umeshalikosa kombe.Hapa ni mwendo wa kuhama timu mpaka unachukua kombe
Bac tu.....karibia timu zangu zote nje...Ndio wamesha aga hivyo..pole yako tu.
Unahamia itakayochukua😀😀😀😀😀Tatizo siku ya final unaweza kua upande wa team ambayo itafungwa na hapo tena unakua umeshalikosa kombe.
Asante ma dia,...sina pakuegemea ngoja nisubir tu premier league....[emoji1]Pole sana dia,.hamia side b