Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

unachoongea ni kweli kabisa, ila wachezaji wote wana kiwango cha dunia najua umenipata, hii game kwa watu wasiowajua belgium najua wataidharau, ila belgium mpira wake ni long pass,,, brazil najua wanapiga pass fupi,,,

ila mm ntafurai kuona soka ya uhakika na yenye magori,,,

leo upangaji wa kikosi ndo utavigarimu timu yoyote ile,,,

mkuu ngoja nikale kabisa ili niwai siti ya mbele
Sawa sawa kaka tuko pamoja, ngoja tukajinoe kwa kipute kijacho.
 
Hili ndio kosi la mauwaji
IMG-20180706-WA0071.jpg
 
Kabisa kaka, lakini Brazil huwa wanatabia ya kupooza mpira na kushambulia kwa mipango sana huku wakikaa na mpira muda mrefu bila kushambulia kwa kukimbiza saana, kwa maana hiyo presha ya mechi inakuwa chini, sasa Belgium wao wanacheza mpira kwa kasi sana wakitumia zaidi mawinger wao Hazard na De Bruyne, ambao leo wanakutana na mabeki bora kabisa.
Katika hali kama hii Brazil wakifanikiwa kuipoza presha ya Belgium na kuwavuta kuiga mpira wao, basi watakuwa wanajizika wenyewe Belgium.
Kama wanataka kushinda basi leo wawe makini sana Belgium.
Pia ningeshauri Lukaku angepumzika na badala yake akacheza Basuery pale mbele
Lukaku hana uwezo wa kukabana na Thiago Sliver.
Uzuri na Ubelgiji wanayajua haya hivyo watajipanga kuivuruga Brazil.
 
Leo nategemea mechi yenye ufundi wa hali ya juu.. Makosa madogo madogo ndio yataigharimu timu pinzani..

Huku Albino, pale Coutinho.. Huko Hazard pale Neymar..

Mechi 50/50..
 
Back
Top Bottom