GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Nakuona tuuNeiba ukiwa hivyo mm ntakuwaje???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona tuuNeiba ukiwa hivyo mm ntakuwaje???
Hapo inakuwa kazi sana kwa Brazil kushambulia kwasababu presha ya Belgium ni kubwa sana.Hii speed wasiipunguze hata kidogo, kwa sasa Brazil wanahaha sana
Lazima wawe na kasi ili kumkabili mpinzani wao anayeaminika ana mbinu nyingiWana kasi ya ajabu leo...
noma sanaaWadau mnaona mashambulizi ya Belgium hapo mbele.
umeona eeeeh,, burudani safiii,,Hahahaha hivi ndivyo nilitaka Belgium wacheze wasiige kabisa mpira wa Brazil na wasipoze mashambulizi hata kidogo
Pigwa 2hahahah brazil
Ndio mbinu mojawapo waliokuja nao Belgium kumkabili Brazil. Ukizijua mbinu za adui yako ni rahisi kukabiliana nayeHapo inakuwa kazi sana kwa Brazil kushambulia kwasababu presha ya Belgium ni kubwa sana.
Limebaki jina tu.Another shame for Brazil!
aje kuchukua uzi wakePigwa 2
[emoji22]Nakuona tuu
[emoji871]aje kuchukua uzi wake
Duh! umewauwa sana. Mpira wao nao pia ni wa ujanja ujanja sikuwapa nafasi na pengo la cavani isiwe kisingizioUruguay wanatia uvivu hata ku-highlight movements zao leo uwanjani. You can see their team jerseys, inatosha kung'amua uzembe wa Taifa hili achilia mbali uzembe wa goal keeper.! Yan designer wa jersey zao alifanya kuazima referees jerseys, ku-print names na namba ya mchezaji. Ivyo tuu. What a nation?!