Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
France ya Russia
Umeamia France wapi, Paris?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamia France wapi, Paris?
Kwa heri Brazilian hairDakika 71 still Brazil 0 vs Belgium 2
WozeeeerNdio hivyo yani, wanachana mikeka ya watu hawa.
Kwa heri Brazilian hair
Kwa utoto huu anaoufanya mbele ya macho ya Walimwengu, hiyo miaka ni mingi sana,Nadhani chini ya 18
Nililiona goliBelgium wamepoteza ball possession na kuwapa Brazil fursa.
Naliona goli likija kwa timu ya Brazil. Belgium haiwezi kuhimili pressure kwa dk 30, ni lazima wabadilike na ku-possess mpira au kufanya counter nyingine
Hee!Wamerudisha moja
Kwa heri Brazilian hair
Leo hata goli moja halipatikani
Hahahaa basi tufanye 15Kwa utoto huu anaoufanya mbele ya macho ya Walimwengu, hiyo miaka ni mingi sana,