SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Kajamaa ile mijiwe la Coutinho kametambaa nayo so mchezo.Kwa kweli he deserveCourtois kwangu mimi ndio man of the match
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajamaa ile mijiwe la Coutinho kametambaa nayo so mchezo.Kwa kweli he deserveCourtois kwangu mimi ndio man of the match
Courtois kwangu mimi ndio man of the match
Hapo tunasema umejifunga mwenyeweJapo sina hata demu ila nimejikuta napiga bao![emoji30][emoji30]
Pole sana Mheshimiwa, ila Belgium nayo kwa uchezaji aliyocheza leo akikutana na France atafungwa.Nimemaliza rasmi kuangalia mashindano ya WC kwa mwaka 2018,niwatakie siku njema, sasa kilichobaki nikutazama senema tu
Mkeka upo vizuri mkuu. Ngoja tuone kesho itakuajeAhsante mkuu
Bado upo Russia? Mie kesho alfajiri napanda ndege kurudi hmMahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale
Chochote kinaweza kutokea world cup hii ilojaa maajabu wacha tuone kesho na waswidish itakuwaje dua zako mzee mwenzangu zinatuhusu.Hakika uko sahihi, naona kama Three Lions wanaweza wakafanya kitu.
Pole wakwetu ila kesho tegemea maumivu mengineMahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale
Mbape ni mchezaji wa kawaida tu akibanwa hafurukuti kinachomsaidia sana sana ni mbio.
Ahsante kaka roho inauma,huko mie siko tenaPole sana Mheshimiwa, ila Belgium nayo kwa uchezaji aliyocheza leo akikutana na France atafungwa.
Bibie kumbe nawe the three lions kama mimi hakika umenifurahisha wacha tusubiri kesho.Mahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale
Ulala salama. Kuna hati hati ya kuota Brazil wamedroo [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Usiku mwema.[emoji124]
Hivi kuna mtu aliwazia kama Brazil hii inaweza kumfunga Belgium?Mpira ni science na sio ngonjera. Brazil wapi sasa?
Kwa uchezaji ule na Colombia, wanatoka mapema tu bila extra timeShunie , lala ukitegemea miujiza. Kama hawatabadilika, kwa uchezaji ule na Colombia naona ticket zao zikiwa na OK! Wanatakiwa kuwa na energy na plan. Wasusie uchovu , huenda!