Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Nakugeukaje mm na wakati kwako kuna ten percent yangu

Ndio ninashangaa.... kwanza pole kwa timu yako namba 2 kutolewa

Ile timu unayoishabikia leo baadae, kama wewe ni mweka hazina na vicoba, chukua hela yote kabet (unakula hela kirahisi kabisa)

Usimwambie mtu: hiyo timu ndio bingwa mpya wa dunia (kumbuka hii post)
 
Huyu Costa itabidi timu kubwa zimpandishie dau.
Wamepoteza nafasi nyingi sana brazil roho zitakuwa zinawauma sana....yule paulinho hakutakiwa kuanza amekosa nyingi sana....willian mzigo tu hila costa mwanaume kweli
 
Haha
IMG-20180707-WA0006.jpg
 
Hamu ya kuangalia mashindano imeisha, Brazil wangemtema Neyma tu
Kiukweli Neymar uchezaji wake hauna madhara angalia hazard akishika mpira ni full pressure kwa Brazil na hapokonywi mpira kizembe. Ukija kwa neymar huyu kinyume chake kabisa mpira anapokonywa kiulaini kabisa yaani hana madhara hata chembe ila kipaji anacho kuliko hata hazard mwenyewe. Tatizo hana consciousness ya kusoma wakati kwenye match na timu inahitaji nini.
 
Mahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale
leo sina team nnayosupport ila ntafurahi England na Russia wakitolewa.
 
Back
Top Bottom