Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mambo ya kuvua shati vile wakati game bado inaendelea sio poa. Nakumbuka Cristiano Ronaldo alifunga goli akavua shati akapewa yellow, akacheza faulo akapewa yellow ya pili akatolewa nje. Akawaponza wenzie wamecheza pungufu jahazi likazama
 
Russia wamekubali kufunguka sasa, na hii ndio itakuwa safari yao
 
Timu hizi ni dhaifu kwenye set pieces, hamna wa kumfunga England kati ya hawa sababu ya huo udhaifu. Yaani England wala hafiki extra time.
 
Back
Top Bottom