Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hawa Belgium kama tuna mahusiano mazuri nao si tunaweza kuwasaidia Dreamliner yetu ikatusaidi kuwarudisha Kwao ?
Screenshot_2018-07-10 Twitter.png

Naamini bado wana nafasi kushiriki Fanaili hii
 
Naona ndugu was maehemu ( Belgium) washafika mochwari kuchukua mwili kurudi nyumbani na kuuga rasmi tayari kwa mazishi
 
Kipipa kitaenda kwa Malkia kama masihara. Sijui kama bibi May ataenda Russia kukutana na babu Putin
 
Back
Top Bottom