Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Pamoja na mapenzi, naona kama England wamezidiwa. Vijana hawana uzoefu mkubwa katika mechi ngumu kama hii na hii inaonekana hasa pale wanavyoshindwa kumiliki mpira katika kukabiliana na nguvu wanazotumia Croatia. Wanahitaji muda zaidi waweze kukomaa kiakili na kimwili.
 
Back
Top Bottom