Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wazee wa extra time tunawasubiria kwa hamu sanaEngland kachezea nafasi nyingi mwanzo, sasa anaweza kutolewa kabisa
Wanazingua sana.Hawa wazee wa extra time tunawasubiria kwa hamu sana
Miminimkulimaakackekasana.
Hii ni sentesi ila jamaa kaifanya kua Jina hahaa.
Nisaidieni kulitag..
Wepesi sanaWanazingua sana.
Kwa mwendo huu njiani nyeupe sana kwa France kubeba ndoo mapema kabisa
[emoji91] [emoji91] [emoji91]Sasa Je.?
Subiri tuwafungeCrotia wamerud kwenye ubora wao tunapata tabu sanaaa
Crotia hamtuweziSubiri tuwafunge