Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wake wamechoka sana kukimbizana 120 na Sweden, 120 na Russia, 120 na England. Na leo ndo walikuwa wanaonekana wamechoka kabisa.Croatia imeanza mashindano Kwa Speed kali lkn siku zinavyozidi kwenda wanashinda kimiujiza tu
Cheers...[emoji3]It’s coming home...
Now
They are going home
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi sana leo,zaidi nimefurahi kwa Mandzukic kufunga [emoji7][emoji1434]
Cheers
Mara Mbili unataka Waingereza watumie nyota yao?Kwani crotia toka waanze kucheza mpira hatua hiyo ya kuingia final wamefika mara ngapi?
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]England hawataki kuondoka uwanjani, wanamsubiri Jecha?
England bila kubebwa hamna kitu. Kisingizio chao kesho ni refa. Croatia wamewazidi kila kitusure, refa alikua upande wa malkia laivu laivu kabisa
Mwaka upi wamefika final wewe acha kamba?Mara Mbili unataka Waingereza watumie nyota yao?
[emoji106]Sana aaaaaa!I wish Croatia wawe mabingwa
Wamewekeza haswaAisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnaliza watuuuEngland hawataki kuondoka uwanjani, wanamsubiri Jecha?
Kane alitumia fursa Kwa PanamaKane nae katuanusha sana zile penat zimemuokoa
Hahahaha kweli banaKane alitumia fursa Kwa Panama
Timu zote Leo zilikuwa za KichovuEngland bila kubebwa hamna kitu. Kisingizio chao kesho ni refa. Croatia wamewazidi kila kitu
.Mimi japo sikuandika ila niliwaza hvyo!Kesho France anashinda, japo Belgium ina kikosi kizuri, lakini imepungukiwa kidogo uwezo wa kuitoa France. Na keshokutwa Croatia anashinda, England hawezi kushinda mbele ya Croatia.
So Final ni France v Croatia.
Bisha at your own risk.😎
Nafikiri leo umegundua ni kwa nini hatuipend England.Wana mpira wa kiujanja ujanja tu,Kama hivi wamekutana na mafundi wameishia kupia On target 2 dakika 120...England itawashangaza wengi itakapomtoa croatia.
Halafu sielewi kwa nini watu wengi duniani hawaipendi england
Waambie.. Waambie. Binafsi nilinunua kabisa jeneza nikawa namsubiri kiongozi wa dini aje akamilishe sala ya mazishi kwa England.Jidanganye England hawana Tofauti na Taifa Stars.