HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Arsenal 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
De bruyne angetufaa sana! Ozil yupo vizuri tatizo anakauvivu flani hivi
Beki la spurs hiloo..hatari sanaHuyu alotoa mpira golini nimemuelewa sana
Hawana uwezo, ukisema hawana bahati utakuwa umewapendelea mnoEngland hawana bahati.
Hatari kabisa.Beki la spurs hiloo..hatari sana
England hawana bahati.
Arsenal 7
Huyu Lukaku katunyuma goli letu.
Halafu wenzake wakikosea anavyorusha mikono huwa sipendi kweli!!Jamaa anakera sometimes, nadhani sababu ya uzito.
De bruyne ana fight kwa ajili ya timu hakati tamaa hii ndio tofauti yake na ozilHuyu jamaa nampenda sana,ni genius...
Anajua cha kufanya akiwa na mpira.
Ozil sijui ana shida gani siku hizi!
Halafu wenzake wakikosea anavyorusha mikono huwa sipendi kweli!!
Nmeipenda beki yao ingawa si salama sana kukaribisha mashambulizi mengi hatari design hii kutoka England.Belgium wamepooza flani hivi, England wanaweza kusawazisha muda wowote.
Yeah, upepo umegeukaBelgium wamepooza flani hivi, England wanaweza kusawazisha muda wowote.
Mnooooooo. Na beki yao iko vizuriHizi counterattack za Belgium zinanikosha roho