Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tu walikutana na mwamba, walistahili kufika finalMnooooooo. Na beki yao iko vizuri
Hahahahah, umehama leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie Belgium simtaki mkoloni
Hahahahahaaa. Leo namshabikia Hazard.Hahahahah, umehama leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi counterattack za Belgium zinanikosha roho
Kwisha kabisaKazi kwisha!
Huyu jamaa kwa pasi za mwisho ni hatariDe Bruyne angepata mastraika makini Belgium wangekuwa mbele kwa magoli 3-0.
Hahahahaha, game tushashinda hiiHahahahahaaa. Leo namshabikia Hazard.
Tayari kwa kweliHahahahaha, game tushashinda hii
Nimekuja hazard wako[emoji41]Hahahahahaaa. Leo namshabikia Hazard.
Namshangilia Eden kwa ajili yako [emoji23][emoji23]Nimekuja hazard wako[emoji41]