green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Nilijua MWANAUME atatokezea tu.Pameanza kunuka syria
.Ni
Nilijua MWANAUME atatokezea tu.
Tatizo wanaua kizazi hawachagui mtoto, mama, baba, wazee na sababu kubwa ni kwamba kipindi cha Asad jamii ya Alawite ambao wengi wao ni Christian waliishi kwa amani zaidi kwa kulindwa na Serikali sasa haya Magaidi ya ISIS toka Israel ndio yamewekwa hapo iliyatawale Syria..ila Russia na Iran wanaweza fanya kitu ikiwa ni pamoja na kuigawa Syria ili Alawite wabaki huruNi
Nilijua MWANAUME atatokezea tu.
wazenj wanajifunza nin hapo ? Kila unamkosoa mama wao wanadandia kana kwamba watu wanajali uzenji wake , ifike muda tujifunze kutoka kwa wenzetu. hao alawite ni haki yao wapitishiwe kile wasyria wengine wamepitia maana walikuwa hawajali kuhusu taifa wao wanajali kuhusu mtu wao kubakia madarakaniTatizo wanaua kizazi hawachagui mtoto, mama, baba, wazee na sababu kubwa ni kwamba kipindi cha Asad jamii ya Alawite ambao wengi wao ni Christian waliishi kwa amani zaidi kwa kulindwa na Serikali sasa haya Magaidi ya ISIS toka Israel ndio yamewekwa hapo iliyatawale Syria..ila Russia na Iran wanaweza fanya kitu ikiwa ni pamoja na kuigawa Syria ili Alawite wabaki huru
Nimepata somoTatizo wanaua kizazi hawachagui mtoto, mama, baba, wazee na sababu kubwa ni kwamba kipindi cha Asad jamii ya Alawite ambao wengi wao ni Christian waliishi kwa amani zaidi kwa kulindwa na Serikali sasa haya Magaidi ya ISIS toka Israel ndio yamewekwa hapo iliyatawale Syria..ila Russia na Iran wanaweza fanya kitu ikiwa ni pamoja na kuigawa Syria ili Alawite wabaki huru